Sunday, November 2, 2008

Zawadi toka T-MARC

Taasisi inayojishughulisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya Ukimwi ya T-MARC imeendelea kuchezesha droo ya nne ambapo washiriki walikuwa wakituma neno KENGELE kwa njia ya SMS kwenda 15796 na kujibu maswali yanayohusu maambukizi, waliojibu vizuri walijishindia zawadi mbalimbali kupitia simu zao za mkononi, droo hiyo itaendelea tena Ijumaa ijayo.

Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Abdallah Hemed (kushoto) akimwangalia Juma Tumaini akiandika jina la mmoja wa washindi waliopatikana katika droo ya nne ya T-MARC.

No comments: