Kupitia hapa utaweza kupata Habari mbalimbali zikiwemo za Siasa, Michezo, Biashara, Dini, Mapenzi, Afya, Mazingira na mambo mengi yanayomzunguka mwanadamu.
Sunday, November 9, 2008
Kat Deluna
Kat Deluna akiongea na waandishi wa Habari katika viwanja vya Leader lilikofanyika tamasha la utamaduni wa muziki 'Fiesta Jirambe 08'
Msanii toka ughaibuni Kat Deluna alipowasili katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar, msanii huyu amekonga nyoyo za watanzania walio wengi ktk tamasha la Fiesta Jirambe..
2 comments:
Anonymous
said...
Ebwana eeh! demu anaweza kinoma babaake, yaani yuko juu balaaa!
2 comments:
Ebwana eeh! demu anaweza kinoma babaake, yaani yuko juu balaaa!
Anony 3:20 ulikuwepo au ndio nyie mnasikiaga kwene bomba tu halafu mnajifanya kama mlikuwepo
Francis, dar
Post a Comment