Sunday, November 9, 2008

Vigogo wa EPA aibuni..


Hawa ndio baadhi ya wadaiwa wa utafunaji wa Fedha zilizokuwa za akaunti ya madeni ya nje EPA wakiwa Mahakamani..

2 comments:

Anonymous said...

kweli hakuna mapana yasiyokuwa na mwisho ukiambiwa wanaanza kuadhirika huwezi amini, ama kweli Mungu yupo

Anonymous said...

oyeeeeeeeeeee mafisadi ziiiiiii.....