Sunday, November 2, 2008

Washindi droo ndogo ya Benzi wapatikana..

Washindi watatu wa droo ndogo ya kwanza katika Bahati nasibu ya Shinda Benz au Mitisubishi Pajero inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wamepatikana. Washindi hao ni Bi.Zubeda Mkangumbe aliyejishindia seti ya Sofa za kisasa, Hamida Kissere aliyejishindia kabati la nguo na Iluminata V.Bunga aliyeondoka na Dressing table, Pichani ni msanii maarufu Wabogojo akisindikiza sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya Bakhresa Manzese jijini Dar es Salaam..

No comments: