Kupitia hapa utaweza kupata Habari mbalimbali zikiwemo za Siasa, Michezo, Biashara, Dini, Mapenzi, Afya, Mazingira na mambo mengi yanayomzunguka mwanadamu.
Tuesday, November 4, 2008
Jirambe ndani ya Rock City (Mwanza)
Vijana wa Nyumba ya vipaji Tanzania THT, wakinesa kwa mbwembwe ktk harakati za kuwarambisha urojo wana Rock City,Vijana hawa wameonesha mbwembwe za ajabu toka mwanzo wa Msafara wa Jirambe ulioanzia kule jijini Tanga mpaka hapa ulipofikia..
Wana wa Kiumeni TMK wakiongozwa na Juma Kassimu (Nature a.k.a Kibra) wakishambulia ipasavyo ktk kukonga nyoyo za wananchi waliojitokeza kujiramba ndani ya Viunga vya Yatch Club jijini Mwanza..
Kr Mulla akichizisha wakazi wa Mwanza waliojiachia ndani ya tamasha Fiesta Jirambe Ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza..
No comments:
Post a Comment