Kupitia hapa utaweza kupata Habari mbalimbali zikiwemo za Siasa, Michezo, Biashara, Dini, Mapenzi, Afya, Mazingira na mambo mengi yanayomzunguka mwanadamu.
Wednesday, October 29, 2008
Pantoni lakwama Dar..
Kimbembe kilichotokana na kukwama kwa kivuko cha Mv Kigamboni kimezuka leo asbh na kusababisha kero kubwa ya usafiri miongoni mwa wakazi wa Kigamboni, hali hiyo ilitokana na kutitia mchangani kwa kivuko hicho kikubwa kinachotegemewa kuvusha watu wa eneo hilo, Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, Pantoni hilo lilikwama toka alfajiri kutokana na kinachodaiwa kuwa nahodha wa wake kuchelewa kukiondoa kabla maji kupwa.mashuhua waliendelea kunyetisha kuwa kutokana na kivuko hicho kikubwa kukumbwa na tatizo hilo, wasafiri wakawa wakitegemea kivuko kidogo cha Mv Alina, hali iliyoendelea kuzua tafrani kwani abiria walikuwa wengi kuliko kivuko hicho...
No comments:
Post a Comment