Kupitia hapa utaweza kupata Habari mbalimbali zikiwemo za Siasa, Michezo, Biashara, Dini, Mapenzi, Afya, Mazingira na mambo mengi yanayomzunguka mwanadamu.
Tuesday, December 9, 2008
Eve/Fat Joe ndani ya Likizo Tym
Hapa Fat Joe akiteta jambo na Eve mara tu walipokutana katika viunga vya hoteli ya Kilimanjaro Kempisk
Mwanamuziki nguli kutoka katika kundi la Terror Squad,Fat Joe, akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari kutoka Cloudz FM alipokuwa akiwasili ndani ya viwanja vya Kilimanjaro Hotel Kempisk, Fat na EVE wako nchini kwa ajili ya tamasha la Likizo Tym.
EVE akiongea na wanahabari pamoja na raia kadhaa walioalikwa katika pati ya Meet & Greet ndani ya Hotel ya Kilimanjaro Kempisk.
No comments:
Post a Comment